ZAIDI YA PICHA 150 USIKU WA UKOMBOZI NA THE JOSHUA GENERATION TANZANIA

Ulikuwa ni usiku wa ijumaa ya tarehe 27 ya mwezi wa pili katika kanisa la E.A.G.T Mito Ya Baraka ambao kundi la The Joshua Generation Tanzania liliandaa mkesha wa kusifu na kuabudu uliopewa jina la Usiku wa Ukombozi huku ikiwa ni mara ya pili kwa kufanyika mkesha huo baada ya mkesha wa kwanza kufanyika July 11 mwaka jana. Bofya hapa kuziona.

Katika mkesha huu ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiomgozwa na kiongozi wa kanisa hilo Askofu Dakta Bruno Mwakibolwa pia waimbaji mbalimbali wakialikwa kama Rungu la Yesu, The Patmos Voice of Worship, The Unity Band, Hazina Praise Team, Deborah Mwaisabila, Martha Baraka pamoja na kwaya za kanisa la Mito ya Baraka.

Zifuatazo ni baadhi ya picha katika mkesha huo

PRAISE TEAM MITO YA BARAKA WALIFUNGUA KWA KUABUDU KISHA SIFA IKAFUATIA


KWAYA ZA MITO YA BARAKA,  
EBENEZER CHOIR

 RHEMA SINGERS


NEW JERUSALEM CHOIR

MARTHA BARAKA


DEBORAH MWAISABILA

Lutiko Mwaisabila Kaka yake na Deborah

RUNGU LA YESU

HAZINA PRAISE TEAM

THE PATMOS VOICE OF WORSHIP

 THE UNITY BAND

NENO LIKAHUBIRIWA NA BISHOP MWAKIBOLWA PAMOJA NA MAOMBI

THE JOSHUA GENERATION WAKAINGIA

 BAADA YA MAOMBI

 PICHA ZA PAMOJA 

Hizo ni baadhi ya picha katika tukio la mkesha wa Usiku wa Ukombozi ulioandaliwa na The Joshua Generation katika kanisa la E.A.G.T Mito ya Baraka. Endele kutembelea GK uweze kupata habari na matukio mbalimbali. Pia waweza ku-like ukurasa wetu wa facebook uitwao Gospel Kitaa upate taharifa zaid.
Hizo niiijkchkhc
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.