ARUSHA CITY GOSPEL HIP HOP CONCERT KATIKA PICHA


Jumatatu ya Pasaka (Tar 6 Aprili) Jijini Arusha, kumefanyika tamasha lililopwa jina la Arusha City Gospel Hip hop concert, katika kanisa la Evangelism & Discipleship kambi ya Chupa Madukani barabara ya Moivaro Lodge.

Tamasha hilo ambalo lilikutanisha vichwa vingi vya gospel hip hip kutoka Arusha na nje ya Arusha pia lilipambwa na waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili kwa lengo la kuujenga ufalme wa Mungu kupitia uimbaji.

Victor "VJay Shari Kuu" ndiye amekuwa muandaaji wa tukio ambalo lilianza mida mida ya saa nane mchana na kumalizika jioni ya saa moja jion  huku kila aliyehudhuria akiondoka eneo la tukio na moyo wenye furaha, na mdomoni tabasamu likiwa limesheheni.

 Vjay Shwari Kuu


Uncle Ima

      Waalimu  nao walikuwepo
Shemeji Melayeki wa (City Reading Champions)  na 
Emanuel Makwaya ambao walifundisha juu ya uhumimu wa kusoma vitabu na 
pia kutoa elimu kwa waimbaji hao ambao wanamwimbia Mungu kwa muziki aina ya HipHop kujijengea tabia ya kusoma vitabu.
Mnene Makweta picha  38 kutoka Arusha gospel hiphop concertmwimbaji huyu kutoka  nchini Uganda
 akimwimbia  mungu kwa aina ya muziki wa AfroPop
 

FDG dancers


Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.