EPUSHA AJALI, OKOA MAISHA

Ndugu Mtanzania,

Hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko kubwa la ajali za barabarani. Uchunguzi unaonyesha kwamba nyingi miongoni mwa ajali hizo zimetokana na uzembe wa madereva hususani mwenfo wa kasi kupindukia (high speed). Maelfu ya maisha ya watu yanazidi kupotea huku wengine wakibaki na vilema vya milele.

Kama mwananchi au abiria unaweza kujiokoa wewe, abiria mwenzako au Watanzania wenzako. Usikubali kuendeshwa kwa kasi kupindukia na wewe ukakaa kimya.

Wito umetolewa, ukiona dereva anahatarisha maisha yako au ya abiria wengine tafadhali wasiliana moja kwa moja na Makamanda wa Usalama Barabarani (RTOs) kwa kutumia namba zifuatazo


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.