HATIMAYE MWILI WA RAHEL E. MUNISI WAHIFADHIWA MASAMA - MOSHI

Rahel E. Munisi alizaliwa tarehe 26/06/1980 na kufariki dunia tarehe 07/04/2015

Chanzo cha kifo cha Rahel
Marehemu alipata mshtuko ghafla na mkono wa kushoto ukaanza kufa ganizi siku ya Jumamosi tarehe 04/04/2015, ambapo alipelekwa katika hospitali ya mkoa wa Arusha ya Mount Meru  kwa uchunguzi zaidi.

Madaktari wakaanza uchunguzi wao ambapo marehemu alifanyiwa  kipimo cha CT Scan. Baada ya kipimo hicho madaktari  na madktari hakuna na tatizo lolote  kwenye ubongo kama ilivyozaniwa.
Ndipo safari yake ya mwisho ikawadia tarehe 07/04/2015


   Marehemu amecha mume na mtoto mmoja 

Naye Mchungaji  Mshanga akasema tuendelea kufikiria yaliyo juu kwa baba mbinguni
 
Picha 22 za matukio tofauti mazishi ya marehemu Rahel E.MunisiKaka wa marehemu (kushoto) na baba wa marehemu, Mchungaji Emanuel Munisi
 Hatimaye mwili umekwisha kuhifadhiwa

 


Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.