MTOKO WA PASAKA NA GLORIOUS WORSHIP TEAM

Kama unadhani uwanja wa taifa ni mbali na hauwezi kufika, ama kama unadhani uwanja utajaa na kwamba utakosa nafasi. Basi Mtoko Jumapili uko pamoja na Glorious Worship Team ndani ya Victoria Service Station. Kwa ufupi hii inaitwa mtoko wa pasaka kuanzia saa tisa mchana.

Pamoja na huduma ya injili kwa njia ya uimbaji, siku hiyo kutakiwa na wazungumzaji ikiwemo Eric Shigongo. Fika upate maarifa na kufunguliwa siku hiyo.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.