SHANGWE ZA GK: HERI YA SIKU YA KUZALIWA KWA MCHUNGAJI HARRIS KAPIGA

Wawakilishi waliopata fursa ya kufika kwa tukio.
Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa ya Mchungaji Harris Kapiga wa kanisa la Nchi ya Ahadi (Naioth Gospel Assembly), wanakikundi wenzake kutoka One Voice Family wamemuibukia kwa surprise na kukambidhi salamu pamoja na kumtakia heri na fanaka kwa siku hii muhimu maishani mwake.

Zifuatazo ni picha cheche zilizopatikana.One Voice family ni kundi ambalo limeanzishwa maalum kwa ajili ya kuunganisha vilivyokosekana kati ya wahudumu kwa njia ya uimbaji na jamii inayoshirikiana nayo kwa ujumla, ikiwemo vyombo vya habari. Kikundi hiki kina takriban watu zaidi ya 50 maeneo mbalimbali nchini, na nje ya nchi.

Happy Birthday Pastor Harris Kapiga. Nchi ya Ahadi ifurike Neema.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.