TANZIA: MTOTO WA MCHUNGAJI MUNISI AFARIKI DUNIA ARUSHA

Marehemu Raheli E. Munisi
Taarifa za kusikitisha ambazo Gospel Kitaa imezipata ni kuhusu kifo cha Raheli Emmanuel Munisi, ambaye ni binti wa Mchungaji kiongozi wa kanisa la T.A.G Azimio Revival Christian Church lililopo Kware, Kata ya Elerai jijini Arusha (Sakina) - Soseji.

Kwa mujibu wa Mchungaji George Munisi, Raheli ameaga dunia Jumanne usiku. Raheli amezaliwa tarehe 26 Juni 1980. Endelea kutembelea GK nasi tutakufahamisha zaidi. Msiba uko kanisani Azimio.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.