TAZAMA VIDEO YA ASKOFU GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA WAUMINI WAKE JANATazama video hii ambayo Askofu Josephat Gwajima akizungumza na waumini wake katika kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo Kawe Tanganyika Packers jijini Dar es salaam hapo jana. Ambapo kwa mujibu wa taarifa zisizo rasmi ambazo GK imezipata ni kwamba jeshi la polisi nchini limesema askofu huyo hana kosa lolote na kwamba ameruhusiwa kwenda nyumbani kupumzika.


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.