ALICHOKISEMA MGENI RASMI DKT MRAMBA KWENYE UZINDUZI WA AMENIFUTA MACHOZI

Dkt Furaha Mramba.
Kwenye zinduzi mbalimbali huwa watu wanaguswa kwa namna mbalimbali. Wengine kwa njia ya uimbaji, wengine kwa namna vyombo na mpangilio wa sauti ulivyokuwa, na wengine hata taswira kwa ujumla. Kati ya vitu hivyo, pia kuna hotuba ambazo wageni rasmi hutoa. Na kwenye uzinduzi wa DVD ya Edna Kuja, Amenifuta Machozi - watu si tu wamebaraikiwa na uimbaji, bali pia na mgeni rasmi.

Mgeni rasmi akikabidhi mchango wake pamoja na mbegu kwa mwenyekiti wa maandalizi, Bi Lilian Kimola
Dkt Furaha Mramba, ambaye ni kaimu Mtendaji Mkuu Wakala wa Maabara Tanzania -Wizara ya Mifug. Amekuwa zaidi ya kilichotarajiwa, amekuwa mwinjilisiti ambaye alitumiwa na Mungu kuwaonya waimbaji kuhusu mwenendo wao. Tofauti na wengine ambao huzindua na kutoongea yoyote zaidi ya kufanya changizo, hili lilikuwa la upekee.

Msikilize akiongea kwa kuplay hapoa, ama kubofya hapa (22MB) uweze pia kuitumia sauti.

Edna Kuja akifurahia jambo pamoja na mgeni rasmi na mpambe wake.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.