ARUSHA CITY GOSPEL HIP HOP VIBE CONCERT JPILI HII

Ni siku ya maajabu na ya kipekee itakayopambwa na marapa wa Kristo kutoka ndani na nje ya taifa la Tanzania. Jumuiko kubwa la vijana na wale wote wampendao Kristo, ambapo injili itaenezwa kwa namna ya kipekee ikihusisha gospel hip hop.

Tayari wadau mbalimbali ambao watasindikiza ibada hii ya kusifu itakayofanyika kwenye kanisa la shamba la Yesu lililopo Mianzini Stand ya Hiace ya Kiding'a kuanzia saa nane mchana wameshaingia jijini Arusha ili kwenda sawa katika kuvurumisha mashambulizi kwa shetani huku Yesu akitukuzwa,

Tukutane kanisani Shamba la Yesu tukiongozwa na Shwari Kuu VJ, bure bila kiingilio.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.