ARUSHA KUBUBUJIKA NA ATENDAYE TOUR YAKE PAUL CLEMENT JPILI HII

Hatimaye jiji la Arusha kwa mara nyingine limepata fursa ya kubarikiwa na muimbaji Paul Clement. Zamu hii ni katika tour ya Atendaye. Ama kwa lugha rahisi kutambulisha kazi mpya ambayo imempendeza Mungu kutukuzwa kwayo.

Paul Clement hatokuwa peke yake, wenyeji wake watakuwepo kwenye kanisa la EAGT Elerai ambapo ndipo tukio linafanyika Jumapili tarehe 17. Jongea na sadaka yako ya shilingi elfu tano tu kuanzia saa tisa mchana uweze kujumuika na waimbaji wengine kama vile Men of Standards na Spring of Praise. GK itakuwepo pia.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.