PICHA 245 KATIKA TAMASHA LA ATENDAYE NI MUNGU TOUR NA PAUL CLEMENTAtendaye ni Mungu Tour kwa mara ya kwanza imefanyika jana Arusha  tarehe 17/5/2015 katika kanisa la E.A.G.T Elerai ikiongozwa na Paul Clement.
Ambayo ita fanyika katika mikoa mingine ambayo ni Moshi,Mbeya na Dar es salaam wa lengo la kuwafikia vijana kwa lengo la uiimbaji.
Baadhi ya waimbaji nao walikuwepo kama vile  Men Of Standards (MOS),Abednego and The Worshippers na Spring Of Praise (SOP).
kwa nini Tour hii imeitwa Atendaye ni kwa sababu ya ushuhuda wa Paul Clement huko kote alikopita watu wajue kuwa Mungu yupo na anatupigania ndio maana akaita  Atendaye na DVD yake akaiita Atendaye Ni Mungu ndio moto wa mwaka huu.

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.