CHAGUO LA GK: MANUKATO KUTOKA KWA FANUEL SEDEKIA


Tunatumai umekuwa na Jumapili yenye baraka tele ewe mdau wa Gospel Kitaa. Kwa Jumapili ya leo chaguo letu linatokea jijini Arusha kwa marehemu Fanuel Sedekia na wimbo wake wa Manukato. Sedekia ambaye amefanyika baraka kwa kila aliyewahi kumsikiliza, kazi zake bado zinaendelea kugusa mioyo ya wengi licha ya yeye kutangulia.

Barikiwa na wimbo huu ambao unamtukuza BWANA Yesu.


Tukutane wiki ijayo.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.