CHAGUO LA GK NI NYIMBO 19 KUTOKA DVD MPYA YA JOYOUS CELEBRATION 19

MTN Joyous Celebration 19
Katika chaguo la GK kwa siku ya leo tumekuchagulia nyimbo mpya kutoka kwa kundi la Joyous Celebration kutoka Afrika ya kusini ambao waliachia CD na DVD yao ya 19 takribani miezi miwili iliyopita sasa, na kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba toleo hilo mpaka sasa linashikiria rekodi ya kuuzwa sana katika mtandao wa iTunes Afrika ya kusini lakini pia kwa CD na DVD za kawaida bado inashika nafasi ya kwanza.

Basi hii ni nafasi muhimu kwako wewe mdau wa GK ambaye bado hujapata toleo hilo jipya ili upate kujionea nyimbo 19 kutoka katika DVD yao mpya ya kundi hili maarufu kwasasa barani Afrika likiwa chini ya udhamini wa kampuni maarufu ya MTN. Tunakutakia utazamaji mwema na jumapili njema barikiwa.


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.