EMPOWER AND TEACH TO INSPIRE KATIKA PICHA (CHURCH BOY NA CHURCH GIRL)Church Boy na Church Girl  ni  mpango wenye lengo la  kuwasaidia vijana kumjua Mungu na kuwakumbusha kuwa kuokoka sio ushamba, kuwaepusha vijana na matumizi ya madawa ya kulevya, maadili mabaya na kila aina ya uchafu miongoni mwa jamii zao. Church Boy na Church Girl inatumia mbinu za kipekee za kuenenza  habari njema za yesu kristo.

Church Boy na Church Girl ilianzishwa na Gerald Brown pamoja Venither Gideon kama zawadi kwa kila kijana kuishi maisha ya utakatifu na yenye mafanikio katika njia ya kikristo.

Empower and teach to inspire ni sehemu ya matukio katika kutimiza mkakati wa Church Boy na Church Girl, ambayo Ilafanyika siku ya Jumamosi tarehe 2/5/2015 katika kanisa la HFCC Sakina, jijini Arusha.
Picha 69 za Empower and Teach to Inspire (Church Boy na Church Girl)

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.