HATIMAYE JIMBO LA MASHARIKI KANISA MORAVIAN LAZINDULIWA RASMI CHAMAZI

Baada ya mvutano wa muda mrefu uliozua mgogoro mzito katika kanisa Moravian Dar es salaam na maeneno mengine jirani kuhusu jimbo la masharki. Hatimaye hapo jana kanisa hilo liliweza kuzindua jimbo hilo katika makao makuu yake mapya yaliyopo Chamazi jijini Dar es salaam.

Ambapo katika sherehe hizo zilihudhuriwa na mtendaji mkuu wa kanisa hilo duniani mchungaji Dkt Jorgen Boytler pamoja na wageni kutoka makanisa mbalimbali, wachungaji, maaskofu pamoja na vikundi vya kwaya kutoka sharika za kanisa hilo jijini Dar es salaam.Picha ©Asulwisye Mwalupani
Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.