JUMAPILI HII NDANI YA SUNDAY CELEBRATION

Msimu wa 8 wa Sunday Celebration hatimaye ni kesho, ambapo kama kawaida utukufu wa BWANA Yesu utashushwa ndani ya ukumbi wa Victoria Service Station kuanzia saa tisa mchana.

HAdi hivi sasa, hakuna aliyeshiriki na kulalamika kwani ni mwendo wa kubarikiwa tu kwenye matukio hayo, ambaypo kwa hivi karibuni mzungumzaji mkuu amekuwa Eric Shigongo, ambaye ni mmoja wa wadhamini wa Glorious Worship Team, wenyeji wa tukio hilo.

Jessica BM, Angel Benard, na The Calvary BAnd ni sehemu tu ya wahudumu watakaokuwepo siku ya kesho. Karibu tujumuike sote kwa utukufu wa Mungu.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.