LEO NI SUNDAY CELEBRATION 11, BARAKA ZAIDI

Kwa mkazi wa Dar, hakika Jumapili ya leo ni tulivu ambapo tunakutana na uso wa Mungu, aliyetujalia rehema, baraka, na kibali kuwa hai.

Basi baada ya ibada mchana tukaungane nao Glorious Worship Team kwenye Sunday Celebration msimu wa 11, ambayo imezidi kuwa baraka kwa kila anayefanikiwa kuhudhuria. Tokea msimu wa kwanza hadi sasa, mabadiliko chanya yamejidhihiri.

Njoo ukutane na mzungumzaji mkuu, Erick Shigongo, huku waimbaji mbalimbali wakiwepo kuhudumu, bila kusahau - ukutane na marafiki wapya wa kukuinua kiwango kipya. HIi ni Sunday Celebration na Glorious Worship Team ndani ya Ukumbi wa Victoria Service Station kuanzia saa tisa mchana.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.