MEI TUMEIMALIZA, HAKIKA TUNACHAGUA KUMPENDA YESU

Ester Ibrahim
Tunatumai u buheri wa afya mdau wa Gospel Kitaa, kwa Jumapili ya leo Chaguo la GK linatoka kwa Ester Ibrahim, ambaye anatuongoza kwa wimbo huu unaotoka kwenye album yake ya kwanza iitwayo kwa jina hilohilo la video yake, Nakupenda Yesu.


Ester kwa sasa yuko kwenye maandalizi ya kurekodi album ya pili, ambapo ya kwanza aliitoa mnamo Novemba 2014. Tunapomaliza mwezi wa tano na kuukaribisha mwezi Juni kuanzia kesho, basi tunamaliza mwezi na Ester.

Tunakutakia Jumapili yenye baraka. Kama uko Dar, leo Sunday Celebration inakuhusu pale Victoria Service Station, kama uko Tanga, basi Sacrifice of Praise inakuhusu kwa sana tu. Barikiwa!
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.