RAISE YOUR STANDARDS KATIKA PICHA 117


 Ambayo ilifanyika katika kanisa la HFCC Sakina
Tarehe 23/5/3015 kuanzia muda wa saa 8 mchana mpaka saa 1 jioni.
Iliunganisha vijana wa  vyuo vikuu pamoja na  vijana wengine ilikujifunza jinsi na sababu ya kuongeza viwango ambapo walijifunza mambo mbali mbali juu ya namna aya kuongeza viwango vyao 
Ni hatari kumkuta mtu mwenye maono makubwa lakini matukio yake ya kila siku hayaendani kabisa na kule anapoelekea. hayashabihiana wala kufanana kabisa na ndoto yake. Ni vigumu kuongeza viwango bila kubadili ratiba yako ya siku kwani ndoto yako ya miaka kumi ijayo haitatokea mwaka wa kumi (10) badili hujengwa taratibu kwa matukio yako ya kila siku badala ya kusubiri huku ukiimba wimbo wa SIKU MOJA (One day I will be the greatest). Ndoto zitabaki kuwa ndoto kama hazitafanyiwa kazi kila siku. 
GK nayo ilikuwepo Ungana nasi katika picha.


                                                      Mwalimu Cosmas Kisela 
Mwalimu Shemeji Melayeki naye alifundisha somo la ongeza viwango vyako kwa kubadili kila unachokifanya kila siku                                                                 Mr Forward 


                                                 FDG Dancer  wakiaanza kufanya mambo yao

 Godsurrender naye akiimba kiabo chake cha Hii kazi ina mwenyewe 

 Muda wa sebene sasa
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.