SOMO: FAIDA ZA KUTEMBEA KATIKA BARAKA ZA AGANO NA MUNGU (5 & 6) - MWALIMU MWAKASEGE

Mwalimu Christopher Mwakasege

Kama hukusoma sehemu ya 3 na 4 ya somo hili wiki iliyopita basi BONYEZA HAPA kabla hujaendelea na sehemu ya 5 na 6. Barikiwa

SEMINA YA MWL MWAKASEGE DODOMA
SOMO: FAIDA ZA KUTEMBEA KATIKA BARAKA ZA AGANO NA MUNGU.
Neno kuu: Eph 1:3


DAY FIVE.

Utangulizi: Luk 22:20, Ebr 8:6
•Maana ya Bora( agano): lenye uepesi wa kutumia agano ili kufikia kusudi la agano lililowekwa. Math 5:17-19, Ebr 8:7,13
•Maana ya kuukuu: matokeo ya kitu kutoweza kuhimili matumizi. Inaweza kusababishwa na:
•Ongezeko la matumizi bila kupumzishwa/Matumizi ya mara kwa mara
•Cha zamani hakiendani na hali ya wakati wa sasa.
•Kuna uhusiano kati ya agano jipya na maagano yaliyopita.
•Agano jipya limekuja kuyakakamilisha maagano yaliyopita. Ndani yake limebeba upatikanaji wa maagano yaluyotangulia.
•Huwezi pata maagano yaliyopita bila agano jipya.

CHANGAMOTO TULIZONAZO LEO

1. Kutoyatazama maagano yaliyotangulia kwa jicho la agano jipya.

2. Kutokujua namna ya kutumia kilichopo ndani ya agano jipya ili kupata yale yaliyomo katika maagano yaliyotangulia

Agano la Ibrahim

Gal 3:13,14,29

Baraka ya Ibrahim na ahadi alizohaidiwa.

Mwa 24:1,34,35

•Alibarikiwa katika vitu vyote.

Mwa 12:2, 22:17

Kumiliki lango la adui wako. Mwa 15:18-19

•Haiwezekani uzao wake kutomiliki aridhi/ nchi. Rom 4:13. Hii ni ahadi ya Ibrahim.

Agano la Sinai

Gal 3:13-14.

•Kristo alikufa msalabani ili tuipate baraka ya Ibrahim.

Gal 3:16-29

•Kilichopatikana katika agano hili ni kutengenezwa kwa hema ili Mungu apate maskani.

•Mungu alikuwa akiachilia ufalme wake kwa wanadamu.

•Ndani ya sheria kukatokea ukuhani au agano la Lawi.

•Wazaliwa wa kwanza kupata heshima yao. Chakula cha Bwana ni sehemu ya agano. Luk 1:31-32, Ufu 3:21.

Agano la Daudi

•Mungu aliteremsha kiti cha Mfalme.

•Yerusalem ni mji wa Mfalme mkuu.

Agano la Jerusalem

•Mungu anaweka hekima kwa wanadamu kusema juu ya Yerusalem. Mwa 6:18.


DAY SIX

Utangulizi:

Swali: Unazipataje hizo baraka za agano?

Gal 3:13-14

•Kazi ya msalaba ni kutoa nafasi kwa watu wasio wayahudi( mataifa) kupata baraka na ahadi ya Ibrahim kupitia Kristo.

Rom 8:16-17, Gal 3:29

•Ukitaka kurithi baraka za Ibrahim ni lazima uwe mrithi wake

HATUA ZA KUKUSAIDIA KUONA BARAKA ZINATOKEA KATIKA MAISHA YAKO NA UNATEMBEA NAZO.

1. Zaliwa mara ya pili ili uwe mwana wa Mungu. Eph1:3, 4,5,11,13,14

2Cor 5: 17, Yoh 3:3

•Sisi tulio wa mataifa ni lazima tuzaliwe mara ya pili ili tuwe warithi wa Ibrahim.

•Kama haujaokoka ni lazima uokoke.

2. Fahamu ya kuwa kwakuwa wewe ni mwana wa Mungu ni mrithi pamoja na Kristo.

Gal 4:6-7, Rom 8:16-17, Luk 15:11-32

•Ili upokee baraka ni lazima ujue ya kuwa wewe ni mrithi. Eph 1:13-14

•Kazi ya Roho mtakatifu ni kutushuhudia.

3. Omba maombi yanayohusu urithi wako.

•Mungu akujulishe na kukuonesha urithi ulionao. Efe 1:17-18

Tujue utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu wake.

•Ufalme wa mbinguni ni urithi wako. Math 25:34

•Uzima wa milele ni urithi wako. Math 19:29

•Baraka ndani ya ndoa. 1Pet 3:7-9

•Wenye hekima kurithi utukufu. Mith 3:35

•Mbinguni ni urithi. 1Cor 15:50-56

•Malaika kukuhudumia ni urithi wako. Ebr 1:14

•Jina la Yesu ni urithi wetu. 2Nya 7:14

•Aridhi ni urithi wetu. Kuna mahali Mungu amekupangia kurithi. Ebr 11:8

•Omba akupe huo urithi uwe wako. Mdo 20:32, Zab 2:7-8

4. Ukue katika Kristo usibaki mtoto. Gal 4:1-3, Col 1:13

•Uaminifu

Luk 16:10-12

Usipokuwa mwaminifu Mungu alipokupa kufanya huduma na mtu mwingine hutapewa huduma yako mwenyewe.

Mith 28:20, Mith 23:7, 1Cor 13:11, 3:1-9, Yoh 15:15, Ayu 22:21, Zab 133:1-3, Efe 4:11

Litaendelea…..

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.