TAMASHA LA ARUSHA CITY GOSPEL HIP HOP VIBE CONCERT KATIKA PICHA 110


Lilikuwa ni tamasha la Gospel Hip Hop  Lililofanyika jana tarehe 17/5/2015 katika kanisa la shamba la yesu mianzini.
 Ambalo lilikutanisha waimbaji wa mziki wa aina ya Gospel Hip Hop kwa lengo la kuhubiri habari njema za ufalme wa Mungu kwa kumwabudu na  kumtukuza Mungu kwa njia ya aina  hiyo ya muziki wa Gospel Hip Hop.
 Na pia kuwawezesha wasanii wa ufalme wa Mungu kutumia karama zao ili kuwapa nafasi madhabahuni watoe kile kitu ambacho mungu ameweka ndani yao.
 Shwari Kuu akiwa na Eka Injili kutoka Dar es salaam

                  Moja kati ya Standup comedy kutoka Kenya naye Alikuwepo
 Shwari kuu VeeJay 


 
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.