TUMEKUCHAGULIA NYIMBO 3 ZA UPENDO CHOIR AZANIA FRONT KKKT CATHEDRAL CHURCH

Sehemu ya waimbaji wa kwaya ya Upendo ©Azania Front
Tunatumai u mzima mdau wa GK, leo katika chaguo la GK tuko na kwaya ya Upendo kutoka Azania Front KKKT, ambapo katika album yao ya Tukitembea Nuruni tunakutana na nyimbo za Upendo wa Yesu, BWANA Naomba, na Asubuhi na Mapema,

Dakika hizi 14 katika hii video zitakubariki kwa kila neno linalonenwa hapa, na kukukumbusha kwamba bado Yesu anatujali na kutuwazia mema. Ni kwa upendo wake wa ajabu pekee ndio ulimfanya Yesu kuja kuishi nasi kutuelekeza njia ya Mbinguni.

Tufurahi pamoja kwa nyimbo hizi ambazo zimeimbwa kwa staili ya kipekee kutoka KKKT.

Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.