ZIKIWA ZIMEBAKIA SIKU SITA KULEKEA SACRIFICE OF PRAISE CONCERT SEASON 2zikiwa zimebakia siku sita kulekea Sacrifice Of Praise Concert katika kanisa la E.A.G.T Mikanjuni kuanzia muda wa saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni
Tanga ni zamu yenu sasa katika season 2 ya tamasha hili ambalo lita hudumiwa na waimbaji mbalimbali akiweno Daniel Manimba,Godfrey Mkanumkole,Edna Kuja,Hugo Mlula,Shela Mnyayi,Selestina,Nyangusi,Angel Benard pamoja na waimbaji wengine wa nyimbo za injili. Likiongozwa na MC Chavala
Bila kusahu GK nayo itakuepo kukuletea kila kitakacho jiri uko Tanga Hii sio ya kukosa kwa mtu  wa Tanga pamoja na sehemu zingine.

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.