ZIMEBAKI SIKU 4 UREJESHO NA UPONYAJI WAKO

What God can do, no man can do. Kwanza hilo likukae kichwani wakati unatafakari namna ya kufika kwenye kongamano hili kubwa la na urejesho lililoandaliwa na Mtume Peter Nyaga wa RGC Miracle Center, Tabata Chang'ombe kuanzia saa tisa mchana hadi saa moja jioni. Kongamano hili limeanza tar 4 na litahitimika tar 12 Mei.

Kwa walifanikiwa kufika wanafahamu kwamba kongamano hili la siku 12 tayari lina manufaa, ila kama ndo kwanza taarifa hizi zinakufikia, basi hujachelewa bado. Njoo uungane na maelfu ya watu wanaoguswa kwa upya kupitia watumishi wa Mungu mbalimbali.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.