ATENDAYE TOUR ILIVYOFANYIKA MOSHI KATIKA PICHA 187Atenadye Tour ilianza kufanyika Arusha kisha tarehe 21/6/2015 ilifanyika katika kanisa la MTBC Moshi ikiongozwa na mwimbaji wa nyimbo za injili Paul Clement akishirikiana na Life Changers pamoja na MTBC Praise Team pamoja na waimbaji wengine wa nyimbo za injili.
Atendaye Tour kuelekea Dar Es Salaam kama ilivyofanyika Arusha na Moshi watu wa Dar Es Salaam kaeni tayari kupokea Atendaye Tour.
Kuna Historia Nyuma Ya Dhahabu (Atendaye ni Mungu)


MTBC Praise Team
King Remmy katika Michano

MC John Pazia akimkaribia mwambaji Nathaniel 


Huyo ni kijana Grayson  katika upigaji wake wa SaxophoneMTBC Praise Team 


 Nasasa ni Paul Clement pamoja na Life Changers 

 Mpigaji wa solo guitar akipiga kwa makini sana hapa unamzungumzia kijana Emanuel Gripa

 katika kumwabudu Mungu  katika uwepo wake
 upako ukishuka
sebene
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.