ATENDAYE TOUR KUFANYIKA HAPO KESHO

Nichukue nafasi hii kukukaribisha wewe mtu wa MOSHI na maeneo ya jirani katika ATENDAYE TOUR ambayo itafanyika tarehe 21/6/2015 MTBC MOSHI. Wakishirikiana na waimbaji wengine kama Paul Clement,Life Changers,MTBC Praise Team kuanzia saa tisa alasiri, hapo kesho usipange kukosa kwa kiingilio ni Elfu tano. Bila kusahau GK itakuwepo kukuletea tukio zima.Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.