CHAGUO LA GK NI UJUMBE MATATA 'ULINISUKUMA LAKINI BWANA AMENISAIDIA'


Chaguo la GK Siku ya leo, tumekuchagulia kutoka kwa nyota wa muziki wa injili Afrika mashariki Solomon Mukubwa kupitia wimbo 'Ulinisukuma' ni moja kati ya nyimbo zenye ujumbe mzito kutoka katika neno la Mungu. Mukubwa ametamba na album yake yenye wimbo Mfalme wa Amani ambapo album zilizofuatia bado ameendelea kushikilia ubora wake wa kumwimbia Mungu kwa viwango.

Tunakutakia jumapili njema


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.