KARIBU IBADA YA SHUKURANI NA VOICE OF TRIUMPH LEO NEW ARUSHA HOTEL

Kati ya makundi ya uimbaji ambayo hugusa mioyo ya watu na kuwapelekea hatua ya karibu zaidi na Mungu, basi The Voice of Triumph ni mojawapo. Na leo hii kwenye hoteli ya New Arusha, watakuwa na ibada ya kumshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 4.

Unakaribishwa kushiriki pamoja nao, unachotakiwa kufanya ni kuwasiliana nao kupitia 0757733373 ili upate kuandaliwa nafasi bure. Na kumbuka ni baada ya ratiba za kazi, saa moja kamili jioni. Tukutane hapo.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.