PICHA 194 CHAMUITA ILIVYOWEKA WAKFU VIONGOZI WAKE KANDA YA KASKAZINI

Kongamano la Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), lilikuwa na madhumuni ya kuwaweka waimbaji pamoja na kuweza kuombea huduma ya uimbaji na toba kwa waimbaji, Nchi ya Tanzania na uchaguzi mkuu.

Ambapo kongamano hili lilifanyika siku ya jumamosi tarehe 20/6/2015 katika kanisa la Anglican St. James Arusha.

Kongamano hilo lilizinduliwa na Askofu Stanley Hotay wa Mt. Meru, lengo kubwa lilikuwa ni kuweka wakfu viongozi wapya kwa kanda ya kaskazini.

Kwa majina yao, viongozi waliowekwa wakfu ni kama ifuatavyo
 1. Mwenyekiti - Upendo Mbila
 2. Makamu Mwenyekiti - Pokea Kamata
 3. Katibu - Ann Annie
 4. Katibu Msaidizi - Elisifa Cefas
 5. Mhasibu - Ester Yunusu
 6. Katibu Mwenezi - Godwin Shega
 7. Msaidizi Katibu Mwenezi - Victor Mbaga
 8. Mwenyekiti Kamati ya Usuluhishi na Ushauri - Fortunatus Mabondo "Ondo"
 9. Msaidizi M/kti Kamati ya Usuluhishi na Ushauri - Samwel Nungan.
 10. Mkurugenzi Kamati ya Mipango - Rose Mollel
 11. Mkurugenzi Uhusiano na Maombi - Sara Milunga
 12. Msaidizi Uhusiano na Maombi - Judith Mabondo


 Mchungaji Marko Haule akisikiliza kwa makini sanaa

 asee picha hizi nzuri ndyo walivyokuwa wakishangaa
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.