PICHA 238 ZA PAUL JOHNSON NA THE ARUSHA MASS CHOIR KATIKA IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU

Huduma ya Paul Johnson na The Arusha Mass Choir ilianza rasmi tarehe 14-07-2011,Huduma hii inamtumikia Mungu kwa njia ya kusifu na kuabudu ndani ya jiji la Arusha na Tanzania yote kwa ujumla, ambapo inakusanya waimbaji kutoka makanisa mbalimbali ya hapa jijini Arusha pamoja na wanafunzi wa vyuo hapa nchini Tanzania.

Paul Johnson na The Arusha Mass Choir wanafanya matamasha katika kumbi, makanisa na vyuo mbalimbali hapa nchini, na pia wanawasaidia wale wenye uwezo wa kuimba na kupiga vyombo vya muziki kuendeleza vipaji vyao.

Tarehe 7 mwezi Juni 2015 katika Kanisa la Lift Him Up, Sanawari kuanzia muda wa saa nane mchana Paul Johnson na The Arusha Mass Choir walifanya tamasha la kumtukuza Mungu na kumuabudu. GK ilikuwa sehemu ya tukio hilo, na zifuatazo ni picha za namna mambo yalivyojiri.

Rhema Worship Team katika kumwabudu Bwana 


Eliphas Deo, katibu wa Paul Johnson na The Arusha Mass Choit akielezea historia ya kundiCAHOGOz katika kusifu na kuabudu  Na sasa hawa ni Paul Johnson na The Arusha Mass ChoirMtoto naye katika upigaji wake


Na huu ni wasaa wa sebene
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.