SIKU 5 ZA UREJESHO MKUU KIBAHA PICHA YA NDEGE

Mji wa Kibaha na vitongoji vyake umepata neema ya kutembelewa na watumishi wa Mungu kwa ajili ya mkutano mkubwa wa urejesho utafaofanyika kwa siku tano mfulululizo kuanzia Jumatano tarehe 17 Juni 2015.

Urejeho huu mkuu unakujia kupitia watumishi wa Mungu  Mchungaji Josephine Mwasulama na Mtume Peter Nyaga, ambapo pamoja na maombi ya urejesho yatakayofanyika, pia kutakuwa na ibada ya sifa na kuabudu kutoka kwa waimbaji mbalimbali nchini.

Hii inakuhusu, jiandae kuziacha shida zako zote uambatane na uponyaji kupitia Jina la Yesu!


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.