SINGLE PARENTS ASSOCIATION WANAKUALIKA KUMKOMBOA MWANAMKE JMOSI HII

Hapa tunazungumzia ukombozi wa mwanamke, na hili ni kongamano kubwa ambalo liitakusanya wahudumu mbalimbali wapate kutumia vipawa na talanta zao kugusa mioyo ya watu.

Mwanzilishi wa umoja wa wazazi wanaolea watoto wao peke yao (Single Parents Association) ndio wamekuandalia hili jambo, ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Naibu waziri wa Kazi na Ajira, Dr Makongoro Mahanga.

Usipange kukosa tukio hili litakalofanyika kwenye ukumbi wa Nyantare, Tabata Bima siku ya Jumamosi kuanzia saa saba mchana, ambapo lengo la kongamani hili ni kumtambua na kuweza kumsaidia mwanamke aliyeachwa na kujikuta katika mateso.

Hakuna kiingilio.


Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.