CHAGUO LA GK: AMENIFUTA MACHOZI YAKE EDNA KUJAHabari za Jumapili mdau wa GK, tunatumai u mzima kwa Jumapili ya kwanza ya mwezi Julai. Hakika kama unasoma ujumbe huu, basi ni BWANA Yesu ambaye ametuwezesha. Kwa muktadha huo, basi Chaguo la GK leo hii linatoka kwake Edna Kuja, na wimbo wake Amenifuta Machozi, ambapo hilo ndilo jina la album yake.


Tunatukatia Jumapili njema na yenye baraka, na BWANA Yesu aendelee kukufuta machozi.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.