CHAGUO LA GK: NIPE MOYO WENYE SIFA

Kwaya ya Ufunuo Sokon I
U hali gani mdau wa GK, tunatumai una afya tele kwa Jumapili hii ya mwisho wa mwezi wa saba. Na kama una uchofu wa mwili, basi uzima tunajivunia kutoka kwake Yesu aliyetupatia. Jumapili ya lepo Chaguo la GK linatoka kwa Kwaya ya Ufunuo, KKKT Sokon 1, Jijini Arusha.

Wimbo huu ndio unaobeba jina la album ya kwanza ambayo imetolewa mwaka 2010.


Unaweza kutembelea tovuti yao kwa taarifa zaidi, www.ufunuo.org/  Tunakutakia Jumapili yenye baraka tele.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.