HABARI PICHA: SIFA NA SHUKURANI KATIKA IBADA BETHEL KIJENGE, WAJANE WAGUSWAIlikuwa ni siku ya wajane katika kanisa la Bethel Kijenge Arusha  iliunganisha na  Uzinduzi wa mashine ya kukamua alizeti ambayo walipewa na Mise Anaeli maarufu sana kwa upigaji wa saxophone amabapo leo ndo wametoa zao la kwanza (first product).

Tukio hilo liliambatana na ibada ya kusifu na kuabudu, lengo ikiwa ni kumshukuru Mungu kutokana mashine hiyo ya kuzalisha mafuta ya alizeti.
Kulikuwa na vikundi pamoja na kwaya mbalimbali katika kumsifu na kumwabudu mungu. Ungana nasi katika picha.

 V.O.T  Katika uimbaji 
 Paul Johnson na Arusha Mass Choir Katika uimbaji
 CAHOGOZ Katika uimbaji wao Mise Anaeli katika upigaji wake wa saxophoneShare on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.