HUYO NI YESU NDIO CHAGUO LA GK JUMAPILI YA LEO

Huyo ni Yesu ndiye awezaye kuniokoa (Kuiokoa Tanzania), ndio chaguo la GK jumapili ya leo kutoka kwa waimbaji wa Ambassadors of Christ kwaya kanisa la Sabato Remera jijini Kigali nchini Rwanda. Tunatumaini wimbo huu utafanyika baraka kwako mdau wetu wa Gospel Kitaa. Tunakutakia jumapili njema.Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.