IMESALIA LEO NA KESHO MWANZA IRINDIME KWA SHANGWE ZA UTAKATIFU


Siku na saa zinazidi kusonga, wale wapandao mabasi tayari tikieti ziko mkononi, na wale wa ndege wako standby kwa ajili ya Jumapili ili wafike ndani ya CCM Kirumba kwenye Jiji la Mwanza kumsifu na kumuabudu Mungu ambapo Derick Ndonge atakuwa akizindua album yake ya video.

GK tunakuletea nyimbo zake mbili nyingine upate kubarikiwa nazo, ukijiandaa kuimba pamoja na Derick na wahudumu wenzake wote watakaomsindikiza. Tukutane Jumapili CCM Kirumba.


Baadhi ya waimbaji ambao wameshaanza safari tayari kutoka Dar es Salaam ni kama vile Lilian Kimola na pacha wake Joyce Ombeni, na Magreth Mwakyusa.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.