SHANGWE FESTIVAL MSIMU WA TATU KATIKA PICHA


Shangwe festival ni mwendelezo wa sherehe za kusifu na kuabudu kwa dhumuni la kuleta watu pamoja wa mataifga yote kabila zote na kumfanyia Mungu shangwe na cha Zaidi ni kuwavuta watu kuja Yesu zaidi.

Shangwe festival inaundwa na Life Changers Worhip Team wakishirikiana na marafiki wenye maono sawa na mbeba maono, Jay Haule.

Msimu wa tatu wa Shangwe hizo ulifanyika tarehe 4 na 5 katika Kanisa la E.A.G.T Elerai. Zifuatazao ni baadhi ya picha kama ambavyo GK imezipata baada ya kupiga kambi hapo kwa siku mojawapo.


Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.