SHANGWE ZA GK NI ELISHA NA CAROLYN WATANGAZA UCHUMBA

Shangwe za GK leo hii tuko na Carolyn na Elisha, ambapo wametangaza uchumba kwenye kanisa la Maranatha lililopo Arusha. Carolyn ama kwa jina maarufu kanisani hapo, Lina - ni muimbaji wa nyimbo za injili, halikadhalika mchumba wake, Elisha. Tangazo hilo liliambatana na shangwe kwenye kanisa hilo linaloongozwa na Askofu Erick. Na kisha kufuatiwa na tafrija fupi nyumbani kwa kina Lina. GK ilifanikiwa kuwepo kwenye tukio hilo la baraka, na hapa tunakuletea picha za matukio.
Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.