USIKU WA BOTTLE'S PARTY MOSHI KATIKA PICHA 177

Huduma ya tumbo.
Ijumaa ya tarehe 26 Juni ilishuhudia mkeshawa aina yake kwenye kanisa la Manna Tabernacle Bible (Church) MTBC, ambapo vijana wa kila aina kutoka vyuoni na maeneo mbalimbali  ikiwemo miji ya jirani na Moshi waliunganishwa katika kupata Neno la uzima na kisha kuserebuka ndani ya Yesu, na sanjari na huduma ya tumbo kupamba tukio hilo.

Bottle's Party ni mkesha wa vijana wenye lengo la kuwaleta vijana wa waliokokana wasiokoka pamoja kuoneshana vipaji mbalimbali vilivyopo kanisani kama kuigiza, kucheza, kuchekesha, kuimba, lakini zaidi ya hayo kuna kusifu na kuabudu na kuzungumza neno la Mungu kwa lugha rahisi zaidi na ya kivijana ikiwa ni pamoja na maswali na majibu.

Katika kila bottle's party vijana huwa wanapewa nafasi ya kumpokea Yesu kama BWANA na mwokozi wao na vijana huwa wanampa Yesu maisha yao.

Ungana nasi katika picha kama ambavyo GK ilifika kushiriki baraka hizo ili kuzimimina pia kwako. Paul Clement katika uimbaji wake

 watu wakipata Chips,mayai pamoja na mishkaki


 watu wakiwa wamekaa nje wakati amabapo watu wamejaa ndani 

 Msanii wa musiki wa injili George Silas pamoja na wadada aliowashirikisha katika nyimbo yake ya Ubatili


 Pastor Dickson akiwaongoza sala ya toba vijana hawa

 MTBC Praise Team katika uimbaji wao


 Paul Clement kwa mara ya piuli katika uimbaji wakee


 FDG Dancers kutoka Arusha

 Kijana Grayson akiweka mipangilio vizuri katika upigaji wake wa Saxophone 
 hawa ni KCMC Praise Team

 vijana waliokoka wakimwimbia Mungu kwa njia ya Michano


 katiaka ulimbwende


 Timu kutoka Arusha katika sebene
Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.