UZINDUZI WA ALBAM MBILI ZA MILCA KAKETE KUTOKA CANADA


Tamasha la kuweka wakfu album mbili za Milca Kakete kutoka Canada ambazo ni Nakung'ang'ania na Nataka Nikuabudu, ambalo lilikuwa ni tamasha la kuzitambulisha albam hizo mbili amabzo kuwa kwa sasa ziko maduka yote. Ibada hii iifanyika tarehe 11/7/2015 katika kanisa Sekei Praise Center kwa mchungaji Aminiel Mgonja.

Waandaji wakiwa Sekei Praise Center pamoja na Abednego na the Worshipers. Kulikuwa na vikundi mbalimbali vya kusifu na kumwabudu Mungu na uwepo wa Mungu ulikuwa umetanda. Utukufu kwa Mungu pekee aliyefanikisha. GK nayo ilifika ungana nasi katika picha.

Mwimbaji wa nyimbo za injili Godwin Ombeni katika uimbaji wake akisindikizwa na Milca Kakete kutoka Canada
 The worshpers katika uimbaji wao


 Mchungaji Aminiel Mgonja katika uimbaji wake pamoja na Sekei Praise Center


 Milca Kakete


 Cahogoz katika uimbaji wao
 Mchungaji Aminiel Mgonja akimpongeza Milca kakeke baada ya kuweka wakfu albam zake mbili
 Katika kumpongeza mume wake Abednego

 Wasaa wa sebene sasa na mpiga drum Joel


 Papaa Gerald Church Boy katika sebene
 Milca akipata picha pamoja na wadau waliofika katika uzinduzi wake wa albam zake mbili
Kupata picha kwa pamoja na vikundi vilivyo hudumu katika uzinduzi wa albam zake mbili na hawa ni Cahogoz katika picha
 Milca akipata picha pamoja na Abednego na the Worshipers katika picha ya pamoja baada ya kumaliza tamasha hilo

 Milca akipata picha ya pamoja na Paul Johnson na Arusha Mass Choir


Milca pamoja na Bony Kazi amabaye alikuwa mpiga picha kutoka GK katika picha ya pamoja kwa style ya aina yake katika picha

Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.