CHAGUO LA GK: TUIMBE PAMOJA NA HILLSONG - EVER LIVING GOD


Tunatumai unaendelea vema mdau wa GK, karibu katika Chaguo la GK, ambapo kwa Jumapili ya mwisho wa mwezi Agosti, tumechagua kuabudu pamoja na Hillsong kupitia wimbo wao wa Ever Living God.

Wimbo huu unatoka kwenye album yao iitwayo Hope ambayo imetoka mwaka 2003. Na licha ya kutoka miaka zaidi ya kumi iliyopita, utukufu unatawala kupitia maneno ya wimbo huu. Na tuimbe sote kwa pamoja.


Tunakutakia Jumapili na wiki njema yenye mafanikio katika Kristo Yesu.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.