HABARI PICHA: SUNDAY EXPLOSION KWA MARA YA KWANZA T.A.G THE GOD'S GLORY TEMPLE ARUSHA


Ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kanisa la T.A.G The God's Glory Temple lililopo Mbauda JR Jijini Arusha wakitambulisha ibada ya kusifu na kuabudu ambayo imepewa jina la  Sunday Explosion, ikiongozwa na wenyeji God's Glory Worship Team (GGWT) kutoka katika kanisa hilo.
Tamasha hili lilikusanya waimbaji na wanakwaya mbalimbali kutoka katika Mji wa Arusha kwa lengo la kumfanyia Mungu ibada ya kusifu na kumwabudu.

Ni mara ya kwanza kanisa hili la T.A.G The God's Glory Temple kuandaa ibada ya kusifu na kuabudu,  ambapo muitikio wa watu ulikuwa ni mkubwa tofauti na ilivyotarajiwa.
GK nayo ilipata fursa ya kuungana na waabudu Jumapili ya kwanza ya mwezi Agosti. Ungana nasi kwa pamoja katika picha kwenye ibada hii ya kusifu na kuabudu.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.