NEW LIFE BAND WAPO NCHINI MAREKANI KWA HUDUMA, ANGALIA PICHA ZAO

Tazama baadhi ya picha za kundi maarufu la muziki wa injili nchini New Life Band ambao wapo nchini Marekani kwa ziara ya kihuduma ya miezi mitatu. Kundi hilo ambalo limefikia California, litatembelea miji mbalimbali ya Marekani kama Wisconsin, Minnesota pamoja na Chicago. Ambapo tayari wamekwishaanza kuhudumu tangu walipofika nchini humo Agosti 23 wiki iliyoisha.


Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.