SHANGWE ZA GK NI FRANK NA ROSE MITIMINGI

Katika shangwe za GK hii leo ni kati ya Bwana Frank na Rose Mitimingi ambao walikula kiapo cha kuishi pamoja kama mke na mume kwa maisha yao yote, katika ibada ya ndoa iliyofanyika Jumamosi iliyopita katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu James Kaloleni jijini Arusha.

Bwana harusi ni mmoja kati ya waimbaji wakongwe wa kwaya ya Tumaini Shangilieni ya kanisani hapo ambao nao kama ilivyokuwa ada, harusi waliisimamia vyema harusi ya mwanafamilia mwenzao. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo kama zilivyowasilishwa na mdau wa GK Samuel Kusamba.Share on Google Plus

About Ambwene Mwamwaja

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.