YOUTH GOSPEL PARTY ILIVYOFANYIKA WORLD GARDEN HABARI PICHA 138


Peace Has Come ni tamasha ambalo lilianzishwa na marafiki sita amabapo Matlida Mungarura Amabye ni muasisi wa Youth Gospel Party na sasa huu ni mwaka wa tano kufanyika katika sehemu mbalimbali ikiwakutanisha vijana wa aina mbali mbali kwa lengo la kuwakutanisha vijana na Mungu na kuwabadilisha vijana kwa lugha ya kivijana zaidi.

Na huwa inafanyika kila mwaka mwezi wa nane tarehe yeyote mwezi ambapo vijana hukutana na kuchangia mawazo,kuimba,kucheza,michezo,vic hekesho  na vingine vingi ambapo vijana ukutana na kufurahia kasha kupata maombezi kwa yeyeote anayeitaji maombezi.

Licha ya kuwa na Youth Gospel Party  kila mwezi wa nane huwa wanakutana tena Mwezi wa kumi na mbili kwaajili ya tamasha la Christmas carols ambapo tamasha hili hukutanisha vijana pamoja na watu wa aina mbalimbali kwa lengo la kukutana na kufurahia kuzaliwa kwa Yesu pamoja na kuimba nyimbo za  Christmas.

Huwa wanapokea michango kutola kwa watu mbalimbali ambao hawajaokoa na waliokoa kufanikisha kuwakutanisha vijana hao kumjua Mungu.

Youth Gospel Party ilifanyika tarehe 29/8/2015 katika ukumbi wa World Garden ikiwa ni bure kabsa pasipo kuwa na kiingilio chochote uku vijana hao wakipata vinywaji pamoja na vitafunwa.
GK nayo ilifikia katika eneo hilo ungana nasi katika picha 138
 Katika michezo na huu ulikuwa ni mchezo wa kutafuta vitu vilivyoko mbele yako uku ukiwa umefungwa macho kwa kitambaa.Hapo kiongozi wa mchezo akiwaelekeza namna ya kucheza mchezo huo.

 watu wakisubiriki kwa hamu kipi kitatokea katika mchezo huo kukiwa na makundi mawawili nani ataibuka kuwa mshindi
 wakianza kuelekea kutafuta vitu walivyoagizwa kuvifuata uku wakiwa wamevungwa macho kwa vitamba
 hawa ndio wasshindi wa mchezo huu wakuatafuta vitu ukuwakiwa wamefungwa macho klwa Vitambaa na vitu vyenyewe vikiwa biskut,juis pamoja na pipii
 Efraa Musika katika uimbaji wao
 Douglas pamoja na Nelly katika uimbaji wa Njooni tusemezane Upigaji picha katika Red Carpet 


Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.