HABARI PICHA: AFRICA LETS WORSHIP 2015 ILIVYOKUWA KWA TANZANIA

Ule Mkesha Mkubwa wa Aflewo (Africa Lets Worship) ambao hufanyika mara moja kwa mwaka, umefanyika usiku wa Ijumaa ya tarehe 11 Septemba katika Kanisa la City Christian Center (CCC) Upanga.

Mkesha huo ambao ni Maalum kwa ajili ya Kusifu, Kuabudu na Kuombea Nchi ya Tanzania pamoja na bara la Africa Umehudhuriwa na watu mbalimbali pamoja na vikundi vya uimbaji kama Bomby Johnson, Mise Saxophone, Kaberia kutoka Kenya na AFLEWO Choir pamoja waimbaji wengine mbalimbali.


Zifuatazo ni baadhi ya picha katika mkesha huo.


PASTOR SAM

MISE MZEE WA SAXOPHONE

KABERIA KUTOKA KENYA


BOMBY JOHNSONAFLEWO CHOIR PAMOJA NA MAOMBIAfrica Lets Worship 2015 Tanzania, ndivyo ilivyokuwa ndani ya CCC Upanga. Tukutane mwakani panapo majaaliwa.

Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.