HABARI PICHA: PICHA 30 ZA AWALI KATIKA UZINDUZI WA DVD YA KESHO YAKO INAKUJA YA TUPONILE KOMBA


Ni katika tamasha la uzinduzi wa DVD ya Kesho Yako Inakuja amabayo ameifanya Tuponile Komba.
Tarehe 13/9/2015 katika kanisa la E.A.G.T Elerai Arusha kuanza muda wa saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni.
Ambapo ilikutanisha waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili akiwemo Lilian Kimola,Martha Baraka,Pastor Benny, Matendo kwaya na waimbaji wengine wengi bila kuwasahau One Voice Family International (OVF)
 GK nayo ilikuweko unagana nasi katika picha hizi za awali.

Liliani Kimola katika uimbaji wake ibada ya Asubuhi kabla ya tamasha la uzinduzi wa DVD kuendelea hapo mchana (OVF)

 Pastor Benny kutoka Arusha (OVF)


 Martha Baraka katika ibada ya asubuhi 


 Mtoto naye katika tabasamu la ubora wake akifurahi kile kilichojiri katika tamasha la uzinduzi wa DVD ya kesho inakuja
 Dada Christer Bell Kutokea moshi Katika uimbaji wake 
 Dada Ester Shilinde Kutoka Dar es salaam (OVF)
 Linda Benard Kutoka Moshi

Lilian Kimola kutoka Dar es Saalm


 Tuponile Komba wakati akiingia katika ukumbi wa kuzindulia DVD Kesho Yako Inakuja 


 katika usomaji wa risala kwa mgeni rasmi na Tuponile Komba 
 Mgeni Rasmi pembeni akiongozana na wenzake katika uzinduzi huu wa DVD 
 Mchungaji Marko Haule Pamoja na mama mchungaji Marko Haule pamoja na wazee wa kanisa katika kuombee DVD kisha kuendelea na uzinduzi Share on Google Plus

About Bony Kazi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.