IPO SIKU YAKO KUBARIKIWA - MASANJA ASISITIZA

Hata wakisemaje, hata wakikutazama kwa jicho la namna gani, hata wakikuambia ukaoge.. Lakini siku ni moja tu ambapo Yesu atakubariki na kukutoa hapo ulipo - akuinue juu.

Ipo siku ni wimbo wa Goodluck Gozbert ama kama ajiitavyo, Lollipop Man (bofya hapa kumfahamu). Na kwa wimbo huu ambao maneno yake ni faraja tupu, basi Masanja akiwa nchini Marekani, aliamua kujidai kwa kujikumbushia ahadi hizi za Mungu.Kuusikiliza wimbo huo unaweza kuplay hapa chini ama kwa kutufuatilia kwenye ukurasa wetu wa Soundcloud ili usipitwe na sauti ama nyimbo yoyote tutakayokuwekea.Share on Google Plus

About Gospel Kitaa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.